vunjambavu
Sema Tu Unataka Maji, Mimi Zeruzeru! | Chezea Kizungu Weye!
Wabongo tuna tabia moja chafu sana ya kuwagwaya Wazungu. Yaani ni kawaida sana kwa mbongo kumshobokea mzungu kuliko mbongo mwenzake. Jamaa mmoja alikuwa anafanya...
Kusutana Kwa Wenzetu Hawakupigii Matarumbeta!
Huwa inaumiza sana kupakaziwa jambo ambaloo si kweli na mtu ambaye unadhani ni rafiki yako au unamfahamu. Mara zote ukigundua jambo hilo lazima roho...
Moja Ya Maajabu Ya Zanzibar!
Padri Anselmo Mwang'amba baada ya tukio la kumwagiwa tindikali.
"Zanzibar ndiyo sehemu pekee yenye mashoga wengi (homosexuals) wanaotembea kwa uhuru mkubwa mitaani wakati viongozi wa...
Wabongo Kwa Ubunifu Wa Kijinga Hatujambo!!!
Si jambo baya kuonyesha ubunifu wa jambo fulani pale inapobidi. Na ikitokea si vibaya mbunifu akapewa heshima yake kwa kile alichokifanya.
//
//
Hii video...
Hivi Yakikukuta Haya Utafanyaje?
Umetoka utokako kwa nia ya dhati kabisa uende ukamwombe msamaha mkeo kwa kosa lako kubwa la kuwa na nyumba ndogo moja tu! Hali hiyo...
Licha Ya Mwanaume kufumaniwa Na Mkewe; Amchakaza Makonde Mbele Ya Kamera!
Mwanaume mmoja nchini Kenya alizua kioja cha mwaka pale alipompiga mkewe licha ya yeye kufumaniwa na mkewe. Jamaa huyo ambaye alikuwa ameingia kwenye nyumba...
Mapenzi Na Pesa Ni Kulwa Na Doto Siku Hizi!
Hakika mapenzi na pesa ni mapacha wa damu siku hizi kwani inaonekana pesa ni sabuni ya roho na dawa ya penzi ni chapaa! Jamaa...
Sasa Hivi Hata Kusalimiana Ni Ngumu Sana!!!!
Inavyoonekana dunia inakimbia sana na hakika mambo si shwari. Jamaa mmoja maarufu kwa jina la Rafael mkazi wa Tandika aliamua kuwakumbuka marafiki zake kwa...
Ukitenda Dhambi Jehanamu Ni Yako Tu!
Pombe ni mbaya na ulevi ni noma, mlevi mmoja alipita katika viwanja fulani akakuta kuna mahubiri ya neno la Mungu. Mtumishi wa Bwana alikuwa...
Hakatwi Mtu Hapa!!!!
Ushawahi kulisikia tangazo hili? Bila shaka ushalisikia, watonyaji wetu wanasema kwamba tangazo hili lilibuniwa kutokana na mkasa mmoja uliotokea maeneo ya Temeke!
Nafikiri wengi mnafahamu...
