vunjambavu
Tabibu Na Kibarua Chake!
Kuna tabibu mmoja alikuwa anamfanyia upasuaje mgonjwa wake ambaye alikuwa na matatizo katika korodani (makende) yake. Tabibu aliamua kuzitoa kabisa korodani za mgonjwa wake...
Chupi Yamwumbua Masai
Masai mmoja alikuwa anasafiri kwa basi kutoka mkoa fulani kuelekea mkoa mwingine. Siku hiyo ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuvaa chupi kitendo kilichomfanya...
Kichaa na mkojo
Katika hospitali moja ya vichaa ilikuwa ni kawaida kwa nyakati fulani kuwapandisha wale vichaa juu kabisa ya ghorofa kwa kuwatoa katika vyumba vyao ili...
Jina lake lamponza stejini
Msanii mmoja wa muziki wa kizazi kipya yaani bongo fleva anayefahamika kwa jina la KINYA alipata nafasi ya kuimba katika moja ya matamasha hapa...
Masai na redio
Dunia hii haiishi vituko. Masai mmoja alipeleka redio yake kwa fundi ili ikatengenezwe. Fundi akaifungua kwa lengo la kuitengeneza na ghafla mende wakaanza kutoka...
