vunjambavu
Dawa Ya Moto Unauwasha Mwingine Zaidi!!!
Wahenga wasema, dawa ya moto ni moto! Inawezekana ni kweli. Ukiachana na familia za Kiswahili, familia za wenzetu wale wa upande wa pili zipo...
Akicheka Ana Mwanya!!!
Mwanamke mmoja aliamua kujipima kwa mumewe ili ajue mume wake alimpendea kitu gani. Jambo hilo lilikuwa linamwumiza sana kichwa kwani hakuwahi kusikia hata siku...
Asili Ya Binadamu Ni Nini? Ushawahi Kuulizwa Swali Hilo Na Mwanao?
Watoto ni wadadisi sana na kuna wakati usipokuwa makini ipo siku mwanao atakuja kukuona wewe kilaza! Kama hiyo haitoshi limekuwa ni jambo la kawaida...
Kuwa Mwalimu Ni Kazi Sana; Inabidi Ufikiri Mara Tano Zaidi!!!!
Kwa kweli kuwa mwalimu ni kazi sana na yakupasa ufikirie mara tano zaidi ya mwanafunzi kwa sababu wapo wanafunzi waliojaliwa uwezo mkubwa na wa...
Je, Unapenda Soka Kuliko Mpenzi Wako? | Hii Inakuhusu!!!
Jamaa mmoja alikuwa anapenda sana mpira wa miguu au soka. Kitendo kile kilimfanya aamue kujichora tatuu za majina mbalimbali ya vifaa vya michezo ambavyo...
Unataka Kuniambia Wewe Una Akili Kuliko Mungu!!!!
Jamaa mmoja alikuwa katoka katika mihangaiko yake jua likiwa limekolea sana majira ya mchana na akalazimika kutafuta kivuli ili apate kupumuzika kidogo. Lengo lilikuwa...
Yaliyojili Mjengoni; Tupia Maneno Matano Tu! Zingatia Vigezo Na Masharti!!!
Video Yake Hii Hapa
//
//
Hizi Ajira Zitatuua!!!!!!!!!!
Nani asiyejua ugumu wa kupata ajira sasa hivi hapa Tanzania? Inawezekana wewe hujui kwa sababu umelamba kitengo mahala fulani lakini kwa hakika mambo si...
Je, Huu Ndiyo Mwisho Wa Msigano Wa Wakubwa Hawa?
Baada ya siku kama sio miezi kadhaa ya msigano wa kisiasa baina ya Rais J.M. Kikwete na P.Kagame hatimeye msigano huo unaweza ukawa umepata...
