vunjambavu
Usipende Kutongoza ovyo, Itakula Kwako Siku Moja!
Jamaa mmoja ambaye aliacha kazi iliyompeleka saluni ya kunyoa nywele zake na kujikuta kaanzisha biashara nyingine. Ni kawaida kwa sasa ukiingia saluni za kisasa...
“Usiku Wa Leo Nitakupa Kwa Mara Ya Kwanza!”
Msichana mmoja aliamua kumtambulisha mpenzi wake kwa wazazi wake. Aidha msichana huyo alikuwa hajawahi kufanya ngono na mpenzi wake na hiyo ilikuwa ni fursa...
“Nimeua Wanaume 19!”
Usije Ukajaribu, Mke Wa Mtu Sumu!
Mdada mmoja mke wa mtu alikuwa akisumbuliwa sana na jamaa mmoja aliyekuwa akimtaka kila siku. Hatimaye yule mdada akamwambia...
Je, Watoto Wa Umri Wetu Wanaweza Kushika Mimba?
Dunia inakimbia sana na watoto wadogo wamekuwa wakijifunza mambo makubwa sana. Dogo mmoja wa darasa la pili aliona michezo michafu katika mabanda ya kuonyesha...
Mungu Hajalala, Ukimchezea Atakuumbua! Mchungaji ‘Kiwembe’ Yamkuta! | Angalia Video Yake
Mchungaji na mkewe mtarajiwa dakika chache kabla ya ndoa yao kuingia dosari.
Hili ni tukio la kusikitisha na kufedhehesha zaidi kuwahi kulisikia lakini lenye mafunzo kibao...
Msiba Hauzoeleki!!!!!!
Hakika nina amini kila mtu amewahi kuguswa na machungu ya kifo cha mtu wake wa karibu sana. Hii ina maana kila mtu anafahamu maumivu...
Ni Lini Ulianza Kujifunza Kupika? | Inakuhusu Mdada
Ni lini ulianza kupika kwa mara ya kwanza?
Kuna wanawake wengi siku hizi hawajui kupika na huo ndiyo ukweli. Tatizo linaanza kujitokeza pindi wanapoingia katika...
Madume Yatoana Ngeu, Kisa Mwanamke! | Kila Dume Ladai Ni Mkewe!
Mwanamke Huyo Pichani Ndiye Aliyewafanya Wanaume Wakapasuana Huko Mombasa
Bado dunia imeendelea kushuhudia mikasa na vioja vya kufurahisha na kuhuzunisha pia ambako wanaume wawili huko...
Hawa Ndiyo Wenye Visima Vyao Vya Mafuta Wakiwa Harusini!
Waarabu Wakisherehesha Harusi!
Bila shaka ni ukweli usiopinginga mafuta yameinua sana uchumi wa nchi za Kiarabu. Uchumi wao umeimarika sana na watu wake huishi maisha...
Nani alikwambia Wakenya Wanajua Kizungu!!!!
Wabongo kibao wanashindwa kutambua kwamba kizungu ni kama kimakonde, kindengereko au Kimchinga. Sio kweli kwamba kila anayeongea kiingereza basi kasoma lakini huwezi kupinga ukweli...
