vunjambavu
Siku Wachina Wakitapakaa Bongo | Kiona Mbali
Siku Wachina wakitapakaa bongo bucha na magenge yetu yatatakata kwa vitoweo vya aina hii!
//
//
//
//
Unyago Na Jando Vina Umhimu Wake Samutymuzi!
Mwezi mmoja ushapita tangu harusi, mume na mke wote hawajui namna ya kutafuta mtoto. Wakatafakari kwa kina mume akaamua kwenda na mkewe kumwona tabibu....
Na Hawa Nao Nani Kawafundisha! | Angalia Video Hii
Inaaminika wanyama ukiondoa binadamu, hawapandani kwa lengo la kuzalishana mpaka jike awe katika utayari na atoe harufu ambayo itavutia madume kumpanda. Inaaminika hivyo!
//
//...
Wanafunika Nywele Lakini Wanafunua Matiti!
Mfano mzuri huu hapa, huyu binti anafunika nywele lakini anafunua matiti!
Afrika kama tunavyoifahamu, ilikuwa ni sehemu ya Mila na Tamaduni bora kabisa, sehemu ambayo...
Foleni Yamfanya Bilionea Dewji Kupanda Bodaboda | Afikiria Kununua ‘Chopa’
Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa jinsi inavyoonekana hapa jijini Dar-Es-Salaam, kila kukicha foleni kama inaongezeka na imekuwa ikileta kero sana kwa wakazi wa jiji hili...
Kwa Mtaji Huu Tutaweka Hadi Divisheni 10 !!!
Mwalimu mmoja alikuwa anawafundisha wanafunzi wake namna ya kuunda setensi kutokana na misamiati mbalimbali. Akawa ametoa msamiati TUMAINI kisha akawaambia wanafunzi watunge sentensi kwa...
One Hit Quitter; Ngumi Moja Tu Ya Shingo!!! | KNOCK OUT
Ujana umekuwa una mambo mengi sana. Huko Marekni katika jiji la Jersey, watoto watatu wanashikiliwa na polisi baada ya kudaiwa kuwapiga ngumi watu kadhaa...
Alikosea Au Alikuwa Anasoma? | Tanzania=Zimbabwe & Pemba + Tanganyika
Alijaribu kujitetea sana kwamba ni bahati mbaya ya kimatamushi lakini anaonekana alikuwa anasoma. Nimeicheza hii video mara nyingi zaidi na nimeshindwa kuelewa kama alikuwa...
Steven Kulialia Apata Shavu La Filamu Ya Cheni! | Nimekubali Kuolewa...
Moja ya kipande cha filamu alichocheza Steve Wa Kulia!
Filamu ya ‘Nimekubali kuolewa’ ni ya Dr. Cheni ambae amemshirikisha shabiki Steven wa Yanga ambae ni...
Binti Wa Miaka Kumi Anya Vyuma! | Ni Mombasa, Kenya!
Vyuma vilivyotoka kwenye haja ya mtoto wa umri wa miaka 10 huko Mombasa Kenya.
Inawezekana likawa ni jambo la kuchekesha kidogo lakini lina huzuni zaidi....
