vunjambavu
Kila Kitu Freemason!!!!
Jamaa mmoja alituma kimakosa Tsh. 1,000,000/= kwenda namba fulani ya simu kwa Mpesa. Akawaza sana namna ya kumshawishi yule mwenye hiyo namba ili amrudishie...
Bangi, Bangi, Bangi Nomaaaaaaa!
Acheni tu ipigwe marufuku hii bangi maana ina mambo. Kulikuwa na kundi la vijana mateja wavuta bangi waliokuwa wamejificha kwenye pagali moja huku wanavuta...
Omba Utapewa!!!!!
Omba Utapewa!
Sitaki maneno mengi sana! Angalia hii video kisha uzungumuze jambo!
//
//
Baniani Mbaya Kiatu Chake Dawa!!!!
Jamaa mmoja alipatwa na maradhi ya ghafla na akawa anahisi kufa kufa! Ile hofu ya kifo ilipomzidi akamwita mkewe ili atubu dhambi na makosa...
Hii Ndiyo Zawadi Yangu Ya Iddi Kwako: Je, Umeshiba? | Angalia...
Unaweza kumjali mwingine kwa kidogo ulicho nacho?
Inawezekana usinielewe iwapo unaweza kula na kusaza. Lakini kama huwezi kula na ukasaza unaweza kuwa na fikra za...
Mafunzo Ya Ukimwi Kwa Vitendo!
Ni kawaida sana wanafunzi kujifunza masomo mbalimbali katika shule. Kutokana na kuenea kwa UGONJWA wa UKIMWI. Shule nyingi zimekuwa zikitoa mafunzo ya ELIMU RIKA...
Mwalimu Aacha Kazi Kisa Ushuzi!
Mwalimu mmoja alikuwa anafundisha wanafunzi wa kidato cha pili. Ilikuwa ni kawaida yake kuandika notisi kwanza ubaoni na akimaliza anawaelezea wanafunzi maana ya kile...
Mwamuzi Atoka Mbio Kunusuru Uhai Wake Baada Ya Kumpiga Mchezaji! |...
Mwamuzi akitimua mbio.
Kuna vijimkasa ambavyo ni nadra sana kuviona hasa kwa wapenzi wa soka kutokana na mazingira vinakotokea. Mwamuzi mmoja alijikuta matatani mara baada...
Kipunje, Mwamuzi Anayelimudu Soka La Mchangani! | Huingia Na Silaha Uwanjani
Kipunje akijiandaa kuingia uwannjani.
Madhani umeshawahi kuona soka la mchangani linavyoendeshwa. Huku mechi huwa zina ubabe mkubwa sana na mwamuzi anatakiwa awe mbabe vinginevyo ataishia...
Mwanaharamu | Mapenzi, Usaliti, Uongo Na Damu! | Angalia Hii Filamu...
Mwanamke akimpiga busu mpenzi wake asiyeonyesha kujali.
Wakati mwingine unaweza kumdanganya mtu na akakubali uong wako ukadhani yeye ni bwege sana. Inawezekana ameumbwa kuvumilia na...
