vunjambavu
Mtoto Wa Geti vs Mtoto Wa Kiswazi!
Kuna tofauti sana kati ya mtoto wa kike wa geti kali na mtoto wa kiswazi! Kama Shaa anavyosema wao wana dola sisi tuna vijisenti...
Haibebi!!!!!
Sista du mmoja alikatiza mitaa ya kariakoo na kutokea kituo cha daladala cha magari yaendayo Mwenge kupitia Sinza! Alipofika kituoni akakuta gari moja liko...
Massawe Na Toto La Kishua!
SIku moja Massawe alienda baa kupata moja baridi na moja moto. Akiwa huko, akatokea bonge la mtoto wa kike ambaye kwa mtazamo tu alikuwa...
Aharibu Ibada Ya Kiingereza Kisa Maombi!!!
Jamaa mmoja aliamua kwenda kupima HIV ilikujua hali yake ya kiafya. Siku hiyo ilikuwa ni Ijumaa hivyo mama mshauri alimwomba aje kuchukua majibu yake...
Umewahi Kuona ‘Beki’ Tatu Anadai Mshahara Mkubwa?
Ni nadra sana kuona mfanyakazi wa ndani 'house gel' akidai kuongezewa mshahara mkubwa. Mara nyingi mahaouse gel wengi wakiona wanalipwa kidogo hutoroka bila mabosi...
Madenge Kilaza!
Madenge alikuwa mwanafunzi kilaza sana darasani. hakuweza kabisa kufaulu masomo yake hususani hisabati, kemia na fizikia. Alama zake zilikuwa 8 akijitahidi sana anapata 10.
Siku...
Dawa Ya Moto Ni Moto!
Kijana mmoja wa kiume alimchukua rafiki yake mmoja wa kike na kutoka naye 'out'! Kijana huyo alikuwa na gari aina ya Toyota Mark ii....
Pesa Ni Nguvu! Hutaki? | Angalia Video Hii
Hakika pesa ina nguvu sana. Kuwa na pesa hakumaanishi unaweza kuyamaliza matatizo yote lakini kutokuwa na pesa ni tatizo lisilo na ufumbuzi kabisa.
//
//...
Kweli Watu Weupe Ni Wendawazimu! | Angalia Video Hii!!
Wazungu wanasifika kwa michezo mingi ya kuvutia na ya hatari sana ambayo wamekuwa wakiibuni. Katika hali ya kushangaza kijana mmoja wa kizungu alifanya vioja...
Fumbalo – Sehemu Ya Nane
Mtunzi: Baraka Oscar
Baruapepe: info@vunjambavu.com
Ilipotimu saa kumi na moja na nusu alfajiri tayari kituo kilikuwa kimaanza kupokea wasafiri ambao walikuwa wanaenda mikoa mbalimbali hususani Dar...
