vunjambavu
Mitego Mingine Ni Majanga Tupu
Mitego mingine kwa kweli ni majanga tupu! Siku chache kabla ya ndoa yangu nilikuwa nashangaa kuona mdogo wake na Mke wangu yaani shemeji, alikuwa ananivalia...
India Hawajui ‘Level Seat’ Kabisa
Kwa kweli India ni nchi ambayo hawajui level seat kwenye mambo mengi. Tumekuwa tukishuhudia magari moshi ya india yanafurika abiria. Mabasi na wakati fulani...
Sasa Huna Haja Ya Kuhofia Umeme
Kwa sasa wewe uliyemtumiaji wa simu za mkononi huna haja ya kuhofia tena kukosekana kwa umeme. Wataalamu wamegundua njia bora zaidi ya kuchaji simu...
Masikini Abiria Hawa; Paradise In Heaven
Katika sehemu ambayo haijatajwa, watu kadhaa wanadaiwa kupoteza maisha mara baada ya dereva wa gari lililokuwa likitumika kuwasafirisha kushindana na maji yaliyofurika juu ya...
Sio Kila Ukiona Demu Wataka Nambari Ya simu!!
Ifike wakati watu wajifunze, sio kila ukimwona mwanamke unataka nambari yake ya simu. Kuna wengine ni vimeo na ni watoto wa masangoma; maana unaweza...
Ukipewa Nambari Ya Simu Sepa!!!
Ukipewa nambari ya simu na mrembo basi wewe sepa na usilete mbwembwe wakati yawezekana umeonewa huruma tu! ;-)
Video Hii Hapa
Kuna Wahandisi Ni Wa kuchapwa Viboko
Huko upande wa pili wa dunia kuna wahandisi ni wa kuchapwa viboko kabisa. Maana wanafanya vitu ambavyo hata sokwe hawawezi kuvifanya!!
Ona Video Hii
Huyu Mbwa Ana Makusudi Sana
Huyu mbwa ana makusudi kweli. Mbwa ni moja ya viumbe ambao wanaaminika kuwa na akili na wanafundishika. Angalia jinsi mbwa huyu alivyo na makusudi.
Video...
Unapochemka Kuoa Mke Ambaye Ni Kubwa La Maadui
Waswahili wanasema bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa mke. Na inapotokea unaoa mke ambaye ni kubwa la maadui jiandaae kwa songombingo hili! Sijui...
Fumanizi Live!!! 18++
Jamaa mmoja alifanya jambo la ujasiri sana mara baada ya kumfumania mkewe live akiwa na linjemba tena jirani likiipindua amri ya Mungu ya Saba...
