vunjambavu
Kwa Huyu Jamaa Hata Samatta Haoni Ndani
Kwa Huyu Jamaa Hata Samatta Haoni Ndani
Hakika huyu jamaa ni golikipa bora zaidi kuwahi kuwepo duniani. Mbinu na uhadari wake umekuwa ni wa pekee...
Tanzania Ilianza Kuwa Na Sifa Nzuri Kimichezo Kitambo Sana
Tanzania Ilianza Kuwa Na Sifa Nzuri Kimichezo Kitambo Sana
Angalia Video Hii
Watu Hawa Ni Wa Ajabu Kweli
Kwa kweli duniani kuna viumbe wa ajabu sana. Wapo wanadamu ambao wana mambo ya ajabu sana. Ukiona namna wanavyoendesha maisha yao utashangaa sana. Hebu...
Kondoo Na Tabia Za Kipekee
Kondoo ni moja ya wanyama wapolee na watiifu sana kwa mchungaji wao. Pia wanaaminika kuwa na tabia za kipekee.
Angalia Video Hii Hapa
Msipende Kuuliza Maswali Magumu Wenza Wenu
MSIPENDE KUULIZA MASWALI AMBAYO MKIJIBIWA NAFSI ZENU MNAPANIC
Kuna jamaa mmoja na Mkewe walikuwa wanasafiri kuelekea Italia kwa safari ya kibiashara kwa ndege. Wakiwa angani likasikika...
Siku Za Mwizi Ni Arobaini
Siku za mwizi ni arobaini. Jamaa mmoja alikuwa na tabia ya udokozi sana huko Tarime. Siku moja jamaa alivunja mlango na kuingia kwenye nyumba...
Walimwengu Wana Mengi
Hakika walimwengu wana mengi sana. Jamaa huyu ameonekana akiwachunga mifungo wake kwa staili ya kipekee sana na wote humtii mchungaji wao.
Angalia Video Hii
Akili Za Mataputapu Ni Shida
Akili Za Mataputapu Ni Shida
Nyumbani kwa mlevi mmoja, kuna shimo kubwa nje ya nyumba yake ambalo huwa linajaa maji yasiyokauka kwa muda mrefu. Siku...
Je, Mkeo Ana Thamani Kiasi Gani?
Nianze kwa kuuliza swali, je, mkeo ana thamani kiasi gani? Kuna jamaa ni bingwa wa kufanya tafiti za mambo ya kijamii yanayohusiana na mahusiano....
Abiria Chunga Mzigo Wako
Abiria chunga mzigo wako maana hii ni safari ya shamba. Niliwahi kuona maandishi hayo kwa mara ya kwanza katika basi moja wakati nikisafiri miaka...
