vunjambavu
Ndoa Ni Kuwa Mwili Mmoja
Hakika siku zote ndoa huwa ni tamu sana inapokuwa mpya ila ikianza kuvunda basi ndoa huwa ni chungu sana kama shubiri. Licha ya vitisho...
Never Try This At Home ;-)
Never try this at home aise kama wewe uko kama huyu hiki kitu kiweke mbali na nyumba yako na watoto wako.
Video Hii Hapa
Ona Vitanda Vinavyokuokoa Kwenye Tetemeko La Ardhi
Maarifa yamezidi kuongezeka siku hata siku na sasa wataalam wamekuja na mbinu mbadala ya kutengeneza vitanda ambavyo vinaweza kukuokoa wakati wa matetemeko ya ardhi....
Tambua Sifa Wanazojali Wanaume Wanapotaka Kumwoa Mwanamke
Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa...
Masikini Watoto Hawa
Kupata watoto ni jambo la heri sana na mibaraka kwa Mungu. LAkini majukumu yanapotuzidi maisha ya watoto wetu huwa mikononi mwa kina dada wa...
Kuna Mijitu Inapenda Vya Kunyonga
Kuna mijitu inapenda vya kunyonga na ikipewa vya kuchinja haiviwezi kabisa. Ona sasa yaliyomkuta huyu mzee wa kupenda vya kunyonga.
Video Hii Hapa
Ndoto Za Kutisha
Wakati mwingine ndoto za kutisha huwa zinaharibu hali ya hewa kabisa na kumfanya mtu apagawe. Je, umewahi kuota ndoto ya kutisha? Kama ndiyo ni...
Na Hivi Sasa Shule Ni Bure; Mbona Tutakoma
Kwa kweli michezo ni furaha na kila mtu ana kipawa chake. Ila shule nyingi zimekuwa si msingi bora wa vijana wa taifa la kesho....
Mkono Mtupu Haulambwi
Mkono mtupu haulamwi bwana. Kwa wale ambao wanapenda watoto wazuri naomba niwakumbushe kuwa mkono mtupu haulambwi wala wa moja siowa mbili! Kama unabisha angalia...
