Thursday, June 11, 2026
Home Authors Posts by vunjambavu

vunjambavu

575 POSTS 2 COMMENTS

Duh! Ya Mugabe Siyawezi, Huyu Ndiyo Simba Wa Afrika!

0
Kuna nchi ambazo zinamwona Mugabe, Rais wa Zimbabwe kama kiongozi wa kiimla na asiyekubali mabadiliko. Robert Mugabe mwenye umri wa miaka 89 ambaye hivi...

Huwezi Kupima Uwezo Wa Mungu; Kila Mmoja Ana Umuhimu Wake!

3
Ni mara ngapi umewahi kuingia hotelini kununua chakula na baada ya kuchagua chakula kile unachokipenda basi ukaagiza na kuletewa. Lakini ukiwa katikati ya mlo...

Mfungwa Ajinyonga Jela Marekani, Picha Za Ngono Zilimfanya Awe Teja Wa...

1
Mfungwa Ariel Castro aliyewateka nyara wanawake watatu na kuwafanya watumwa wa ngono kwa miongo miwili amepatikana akining'inia katika seli yake, gerezani huku nchini Marekani....

Fumbalo – Sehemu Ya Saba

0
Mtunzi: Baraka Oscar Barua pepe: info@vunjambavu.com Wiki moja baadae, Gadau aliruhusiwa kutoka hospitali lakini alikuwa chini ya uangalizi wa polisi. Polisi walipewa taarifa kwamba Gadau alikuwa...

Je, Wewe Ukifa Utasindikizwa Na Kitu Gani??? ! Jiulize!

1
Ni utamaduni uliozoeleka kabisa kuona inapotokea askari amefariki dunia basi askari wenzake humsindikiza kwa kupiga mizinga kadha wa kadha au kupiga risasi kama ishara...

“Nisamehe Mke Wangu, Sitarudia Tena!!!!” Huu Ni Woga Au Mapenzi?????

6
Kuna watu wababe mitaani na kwa washikaji zao lakini wakifika hapa wanatulia. Hivi huu ni woga au mapenzi? Kuna watu wana itikadi zao ambazo...

Chezea Pombe Weye! Utajutaaaaaaa

1
Mlevi mmoja alikuwa ametoka zake baa kalewa ndembendembe anaelekea kwake. Akiwa njiani alifika sehemu moja karibu na shule moja mitaa ya Tandale akaanza kukoja....

Usipende Kujaribu-jaribu Vitu Usivyovijua!

0
Mwanafunzi mmoja wa kidato cha nne katika shule moja ya bweni ambayo jina lake tunalihifadhi alizua balaa la karne mara aliporudi likizo akitokea shule....

Bush Mkubwa Amzushia Kifo Mandela!

4
Imeripotiwa kwamba Rais wa zamani wa Marekani Goerge Bush SR., alituma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii akitangaza kifo cha Nelson Mandela jumamosi ya wiki...

Duh! Kuna Watu Wana Mapenzi Na Timu Zao Kuliko Wake Zao!

0
Mangi mmoja shabiki mkubwa wa Liverpool leo amezua balaa asubuhi na mapema. Mangi huyo amejikuta akilala mpaka saa tano asubuhi bila kwenda kazini. Mkewe...
25,671FansLike
- Advertisement -

EDITOR PICKS