Home Vichekesho Jeuri Mbaya

Jeuri Mbaya

1021
15

Ukiwa jeuri, kuna jeuri zaidi yako. Juzi nilikuwa kwenye daladala natokea Kariakoo naelekea Ubungo. Tulipofika Manzese konda akauliza,

Konda: Kuna mtu ana shuka?

Dada mmoja akajibu,

Dada: Tumeziacha nyumbani, tuna mitandio tu!

Kufika mbele yule dada aliyeleta nyodo akawa anataka kushuka Ubungo Maziwa, akamwambia konda,

Dada: Konda, nashuka maziwa!

Konda: Kayanunulie sidiria yasishuke!

**********