vunjambavu
Masikini Mourihno, Hii Ndo Sababu Ya Kutimuliwa Tena!
Baada ya timu ya Chelsea ya Uingereza kusuasua kwenye msimu huu wa ligi ikiwa kama bingwa mtetezi. Imejikuta mpaka sasa ikicheza michezo 16 na...
Hii Single Ni Maalum Kwa Umpendaye
Acha masihara bana, mahaba yana raha yake na kubembeleza raha hasa ukiwa unajua unachokifanya! Sikiliza Hili bonge la single kutoka Bukina Faso!!
Video Hii Hapa
Mwizi Wa Baiskeli!!!! 18++
Dogo mmoja aliibiwa baiskeli yake katika mazingira ya kutatanisha sana. Baada ya tukio hilo, dogo aliamua kwenda kushtaki polisi na kutoa ripoti ya kuibiwa...
Duh! Inakuwaje Hii??
Tanzania imekuwa ikizidi kuweka historia kwa kuchagua viongozi ambao hawajui kusoma vema na kuandika. Swali la msingi ni kuwa, hali hii inakuwaje mpaka mtu...
Maji Ya Kunywa Hukata Kiu Lakini Haya… Mh!!!
Sote twajua maji ya kunywa hukata kiu lakini haya maji ni balaa na usiombe yakukute!!
Video Hii Hapa
Mkuki Kwa Nguruwe
Siku moja mwanaume mmoja alifika kwake akiwa anahema akitokea kazini kabla ya muda wa kawaida. Akamwambia mke wake,
Mume: Jiandae haraka tuna safiri kwenda mbeya
Mke: Kuna nini??
Mume:...
Besidei Ya Jizazi Hiyooooooooo!
Msimu wa besidei ya Jizazi umekaribia na umekuja na vitimbwi vyake. Katika pita pita zangu nilikutana na familia moja ikijiandaa na besidei hiyo.
Mke: Mume...
Acheni Kuigaiga, kwetu hakunaga hizi!
Tuache mambo ya kuigaiga jamani! sasa haya mambo ya kizungu tunayaweza wapi!! Mtavunjika nyonga bure kwa kuiga msiyoyaweza. Kibongo bongo, wanaume ndo wanabebwa na...
Mzee Wa Vyuma Chakavu
Wakati mwingine unaweza kuzua ugomvi usio na mwamuzi! Mwanamke mmoja alitaka kumwonyesha mumewe ni namna gani bado analipa baada ya miaka kumi na tano...
Maduka mengine Si Ya Kununua Vitu Kabisa
Hakika kuna maduka mengine si ya kwenda kununua vitu unaweza kuumbuka. Dogo mmoja toka mkoani Singida alitua katika jiji la Daslamu! Baada ya tembea...
