vunjambavu
Usiombe Yakukute; Mke Anauma Wewe!!!
USIOMBE YAKUKUTE
Jamaa mmoja alienda kwa mchungaji kuungama,
Jamaa: Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana.
Mchungaji: Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana... Atakusamehe tu.
Jamaa: Mchungaji nimezini...
Utani Toka Kenya
UTANI TOKA KENYA
Kama ulipitwa na hii hebu jikumbushe!!!!
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!
2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema...
Bora Kukamua Maziwa Kuliko Kushika Pembe
Mdada mmoja mrembo sana alikuwa kapewa talaka na mumewe akahamia nyumba aliyokuwa kapanga DEVI.
DEVI alipomuona mpangaji mpya roho yote ikamtoka. Akajitahidi kila njia kumuonyesha...
Dingi Kafeli Vibaya!
MTOTO : Baba kwani mimi nimetoka wapi?
BABA: Dah!! Mwanangu mbona unaniuliza swali gumu hivyo? Ene-Wei, hebu kaa hapo nikuhadithie. Mimi na Mama yako siku moja wakati anatoka kazini....
Bangi Sio Oksijeni!!!
Ni saa saba usiku mwendesha bodaboda mmoja alimalizia kuvuta bangi. Baada ya kumaliza aliingia bafuni na kujimwagia kopo la kwanza na la pili la maji....
Asilimia Kubwa Ya Watoa Misaada Hutafuta ‘Kick’
Asilimia Kubwa Ya Watoa Misaada Hutafuta 'Kick'
Masikini Ng’ombe Huyu!
Kama unataka kupima ukuu na nguvu ya Mungu basi utangojea sana. Huko India katika mji wa Sirsi , jimbo la Karnataka kuna ng'ombe mmoja jike...
Time Ya Kuhesabiwa Hiyoooooooooooo!
Mzee Macha wa Mbokomu Moshi Kilimanjaro leo asubuhi kaamka na kuchukua simu yake ya kiganjani kisha kampigia mwanae anayeishi Afrika Kusini.
Baada ya salamu akamwambia...
Zima Simu Kwenye Ibada Utaumbuka!
Kutokana na haraka haraka ya kuwahi ibada, jamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anaswali. GHAFLA simu ikaita. Ili kuua sooo kimya kimya, jamaa akaingiza...
