vunjambavu
Ona Madhara Ya Kufuga Mwili
Haya ni madhara ya kufuga mwili! Dah! Presha ya nini sasa!! Sometimes kuwa na mwili mkubwa sio ishu kabisa. Kama unaweza kuzuia usiwe na mwili...
Huyu Dogo Akikuwa Atakuwa Bonge La Bembeleza
Inasemekana mapenzi huota kama majani, yanaota popote na anayeyapanda hajulikani. Yawezekana hili likawa niladhihirishwa na tukio hili la hawa watoto! Swali la msingi ni...
Noeli Ya Mwaka Huu Patachimbika
Baada ya mtumbua majipu kuendelea kutumbua majipu, siku kuu za noeli na mwaka mpya zinaonekana kuwakalia vibaya watu wengi.
Dr. Mkude Katika Ubora Wake
Dr. Mkude katika ubora wake. Mara nyingi ukisikiliza vituko vya hawa jamaa lazima wakuache hoi kwani huwa wanajitahidi sana kufikiri zaidi ya kawaida.
Sikiliza Hii...
Una Mimba?
Wakati kuna watu wanahangaiaka sana kutafuta watoto kwa udi na uvumba, wapo watu ambao hawajui adha ya kukosa mtoto. Hii hujidhihirisha pale wanapopewa taarifa...
Kwangu Watu Watalimia Meno
Kumekuwako video inayosambaa sana ya Rais Magufuli akiwa na baadhi ya marafiki zake kama Dr. Kigwangalla na wengineo wakijadiliana namna Tanzania inavyoibiwa kwenye sekta...
Jinsi Mzee Wa Magu Alivyowanyoosha Wapenda Ubwabwa
Usiku wa kuamkia siku ya sherehe ya uhuru, Rais Mugabe alikesha akiangalia simu yake ili kuangalia kama kuna 'missed call' au simu toka kwa...
Magufuli Aishangaza China
Rais Wa Tanzania ameendelea kuishangaza Dunia. Hii ni moja ya taarifa ya habari iliyosomwa na vyombo vya habari kutoka China.
Magufuli Azua Ya Kuzua – #WhatWouldMagufuliDo
Baada ya stori nyingi za Prezida mpya wa Tanzania kutapakaa kila kona ya nyumba za watu, nchi, Afrika Mashariki, Afrika na duniani kote; mama...
