vunjambavu
Nani Shujaa Haogopi Kilipuzi?
Nani shujaa asiyeogopa bomu? Kutokana na dhana iliyojengeka kuwa watu wanaojilipua au kubeba mabomu na kujitoa mhanga huwa wanakuwa na mlengo fulani wa dini...
Kuna Watu Wanapenda Kutupia Video kali Sana
Wapo watu ambao huwa wanapenda sana kutupia katika mitandao video kali na ambazo hazijaonwa na wengine. Kiufupi wambea wa kipekee! Ona video hii kilichomkuta...
Ziara Za Ghafla Zataka Moyo
Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa...
Zuzu Aibia Usaili
Mwerevu na Mjinga walienda ktk usaili, walipofika kabla hawajaingia wakakubaliana aanze Mwerevu kisha akitoka ampe majibu Mjinga ili wote wapate kazi. Basi Mwerevu akaingia na...
Ona Wimbo Wa Dangote Ulivyotoboa
Ona Wimbo Wa Dangote aka Diamond Platinum ulivyotoboa mpaka Madhare
Masharobaro Wana Kazi Sana
Sharobaro mmoja alipokea sms tatu kwa mkupuo na zilikuja na ujumbe huu; meseji ya kwanza ilitokea kwa mama yake na ilikuwa inasema hivi,
"Njoo utoe...
Mkemia Mkuu Na 49% Kavuruga Watu!
Mkemia mkuu kweli kavuruga watu wengi na 49% kwani leo hii magazeti yote yameshadadia ripoti hiyo kwa nguvu sana na kwa nini usiogope?
Mzee mmoja...
Yanayotokea Burundi Ni Machukizo Kwa Mungu, Angalia Video Hii
Hakika yanayotokea Burundi ni machukizo makubwa sana kwa Mungu. Watu wanauawa ovyo kama kuku na wanachinjwa hadharani kama ndege. Sidhani kama utakuwa na ujasiri...
Christmas Mwaka Huu Ni bana Matumizi
Badala yakupika PILAU tutapika TAMBI kwenye christmas maana tutakua tumeokoa sh.15,000/=
Vitunguu swaumu 2000/=
Vitunguu maji 1000/=
Iliki 1000, Magome 1000/=
Mchele wa 2000/=
Soda 3000/=
Nyama 5000/=
Fedha hizi zitatumika kununua...
