vunjambavu
Keki Yazua Talaka
Angalia kosa dogo linavyoweza kuleta madhara makubwa! Harusi ya pedeshee mmoja ilitumbukia nyongo mara baada ya uzembe na kutokuwa makini katika kutimiza majukumu kulikofanywa...
Watoto Wa Chini Ya Miaka 10 Ulaya Wakubuhu Kwa Ulevi
Sasa tatizo la ulevi lawavamia watoto chini ya umri wa miaka 10 chini Uingereza huku wengine wakilazwa hospitalini. Wataalam wanasema karibu watoto wapatao 380...
Mseveni, Kenyatta Na Kagame Wamtenga JK
Katika kile kilichozua minong'ono mingi miongoni mwa wachambuzi wa mambo ni kitendo cha marais watatu wa Kenya, Uganda na Rwanda kukutana katika kikaoo kizito...
Sugu Nje Kwa Dhamana
MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (SUGU) amekamatwa na Jeshi la Polisi Mjini Dodoma na kuachiwa kwa dhamana. Mwandishi wetu akiwa Mjini Dodoma anasema...
“…Maana Bwana Alisema…”
Kuna wakati watu wanaweza wakafanya kitu kisifahamike kwa sababu wa wingi wa matukio ambayo yanatokea kila wakati tena kwa uzito na umuhimu wake.
//...
Kusoma Makala Hii Kunaweza Kubadili Maisha Yako!
Biashara Inayoweza Kubadili Maisha YakoMatatizo
Mara ngapi umekuwa ukisikia kuna nafasi ya kipekee ya kufanya biashara mikononi mwako na usipoamua kufanya sasa utapitwa na nafasi...
Jikubali ya Ben Pol Ni Kopi Endi Pesti!!!!
Ni kweli mawazo mengi sana yameshafanyiwa kazi na watu mbalimbali duniani hivyo ni vigumu sana kuja na wazo jipya kabisa. Hata vitabu vya kiimani...
Jihadhari Na Matumizi Ya Diklopa Na Diklofenaki
Tafiti za Kisayansi zimethibitisha kuwa madawa aina ya DIKLOPA NA DIKLOFENAKI ni hatari kwa matumizi ya binadamu. Imegundulika vidonge hivyo husababisha kansa ya ini...
Unashangaa ya Musa? Ona Ya Filauni, Mwanamke Aolewa na Wanaume Wawili...
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani Katavi, Veronica Saleh ‘Mama Kaela’ (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao...
Mtu Chake Bwana!
Jamaa mmoja kwa kupenda misifa alikuwa anawaiba sana wake za watu! Kwa bahati mbaya siku moja akafumaniwa na mwenye mke kwa hasira akamroga jamaa...
