vunjambavu
Hizi Simu Balaa Tupu! | Unaonaje Simu Yako Ikirekodiwa?
Matumizi ya simu hakika yana mengi ambayo wengi hawayajui. Na kila mmoja ana mambo yake ambayo anaamini kabisa yatakuwa ni siri yake mpaka mwisho...
Madenti Kenya Wakinukisha | Baada Ya Walimu Kugoma Waamua Kukesha Baa...
Polisi wa Kenya wamewakamata zaidi ya wanafunzi elfu moja baada ya kupatikana wakiwa walevi mjini Nairobi wikendi hii.
Polisi waliendesha msako katika mabaa na vilabu...
Nimekosa Maneno Ya Kuweka | Unaweza Kunisaidia ‘Kukomenti’?
Mh! Nani demu hapa? My God I see Tutafika kweli? Mambo Hadharani
Tulikotoka | Je, Unaikumbuka Hii?
Moja ya vioja ambavyo viliwahi kutokea Tanzania ni pale Rais alipopigwa kibao hadharani wakati anahutubia. Mkasa huu ulimkumba Rais Ali Hassan Mwinyi miaka kadhaa...
Mzimu Wa Osin Mbaraka Wawatafuna Mafarao | Ikulu Hapakaliki
Baada ya aliyekuwa Rais wa Misri Osin Mbaraka kung'olewa madarakani na vuguvugu la nchi za kiarabu na mabadiliko ya kidemokrasia, mzimu wake umeendelea kuitafuna...
Achomwa Sindano Yenye Damu Ya Mwenye Ukimwi!
Madenge alikuwa anasafiri kutoka Kigoma akielekea Bukoba kwa basi na abiria wengine. Kwa bahati mbaya wakiwa njiani basi lao lilitekwa na majambazi. Majambazi waliwaamuru...
Hii Ni Kidela Ya Kina Kiba | Abdu Kiba ft Ally...
Ally Kiba ameamua kutoka na ndugu yake wa damu Abdu Kiba katika wimbo unaofahamiaka kwa jina la Kidela. Ukiusikiliza wimbo huu inaonyesha Kidela ni...
