vunjambavu
Utakuwa Mwanaume Wa Aina Gani Rita Akiwa Mkeo? | Ili Uishi...
Mwanadada Rita
Ni kweli kwamba kuna tofauti kubwa sana ya kimaumbile baina ya mwanamke na mwanaume. Maumbile yanampendelea mwanaume kufanya shughuli nyingi zaidi ngumu.Katika mazingira...
January Makamba Amshushia Lawama Zitto Kabwe Na Wenzake Kwa Kupitisha Kodi...
Sakata la kodi ya kadi ya simu limeendelea kuwakuna wanasiasa wetu ambao wamekuwa wakifunguka kwa nyakati mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii....
Baada ya January Makamba,...
Ujasiri Ni Kuzungumuza Yale Yaliyomo Moyoni | Sikiliza Hii
Imekuwa ni jambo la kawaida katika mahaba kwa mwanaume kumwambia vyovyote atakavyo mpenzi wake yaani mwanamke. Lakini mara nyingi wanawake wamekuwa wakigubikwa na aibu...
Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Baada Ya kuongezewa ‘Marks’ Hawa Hapa |...
Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai. Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu...
Matatu Ya Kenya Zaja Na Mpya | Zinawaunganisha Wateja Na WiFi...
Ukiwa kwenye jiji la Nairobi na ukaona magari yamechorwa rangi tofauti na graffiti, basi hizo ni daladala zao jijini Nairobi maarufu kama Matatu...
Mimba, Hasira na Pesa | Unachezea Chapaa Wewe!
Kuna mzee mmoja alibahatika kupata mtoto mmoja tu tena wa kike. Yule mzee alikuwa anampenda sana binti yake kiasi alidiriki kumpa kila alichokihitaji licha...
Mhabeshi Wa BBA, Betty Huenda Akaenda Jela Miaka 6 Kwa Kufanya...
Baada ya kutolewa nje ya mjengo wa 'Kaka Mkubwa Wa Afrika' yaani Big Brother Africa na kulazimika kuagana na mpenzi wake wa mjengoni Bolt...
Eti Makampuni Ya Simu Yanatuibia!? | Sikiliza Mwenyewe
Mara kadha wa kadha nimekuwa nikisikia watu wanalalamika kwamba wanaibiwa pesa zao kwenye simu mara vile mara hivi na kila aina ya malalamiko. Inawezekana...
Wivu Wamfanya Atake Kuua Baba,Mama Na Dada Yake | Anunua Jeneze...
KIJANA Lusajo Kabuje mkazi wa kitongoji cha Isanga Kijiji cha Iwindi, Wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani hapa, ameonekana na jamii kuwa ni mtu wa...
