FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Jamaa Achanganyikiwa Obama Kuiruka Kenya, Aponda Sana | Usipocheka Huna Mapupu
Mkenya aliyeumizwa na kitendo cha Obama kuiruka Kenya
Katika kile kinachodaiwa wivu wa Obama kuipendelea Tanzania na si Kenya, kumekuwako manung'uniko makubwa sana kwa Wakenya...
POPULAR VIDEO
Nimejaliwa Mtoto Mwema Sana
Kuna jamaa alikaa muda mrefu sana bila kupata mtoto. Akiwa anakaribia kufikisha miaka 45, jamaa alibahatika kupata mtoto wa kiume! jambo hilo lilimpa furaha...
















