Trending Now
FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Siku Za Mwizi Ni Arobaini
Siku za mwizi ni arobaini. Jamaa mmoja alikuwa na tabia ya udokozi sana huko Tarime. Siku moja jamaa alivunja mlango na kuingia kwenye nyumba...
POPULAR VIDEO
Sema Tu Unataka Maji, Mimi Zeruzeru! | Chezea Kizungu Weye!
Wabongo tuna tabia moja chafu sana ya kuwagwaya Wazungu. Yaani ni kawaida sana kwa mbongo kumshobokea mzungu kuliko mbongo mwenzake. Jamaa mmoja alikuwa anafanya...
















