FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Nani alikwambia Wakenya Wanajua Kizungu!!!!
Wabongo kibao wanashindwa kutambua kwamba kizungu ni kama kimakonde, kindengereko au Kimchinga. Sio kweli kwamba kila anayeongea kiingereza basi kasoma lakini huwezi kupinga ukweli...
POPULAR VIDEO
Jiangalieni Sana Mnavyoandika CV Zenu
Jamani jiangalieni sana mnavyoandika CV zenu kwa sifa pindi mnapokuwa mnatafuta kazi.
Mfanyakazi: Bosi, leo siwezi kuja kazini kuna mvua kubwa imenyesha maji yamejaa kuzunguka...

















