FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Kizungu Hakijaja Kwa Majahazi
Kuna jamaa mmoja alihangaika sana kutafuta kazi. Siku moja alibahatika kuitwa katika usahili baada ya kuteuliwa kufanyiwa usahili. Kama unavyojua usahili mwingi hufanyika kwa...
POPULAR VIDEO
Usiombe Yakukute; Mke Anauma Wewe!!!
USIOMBE YAKUKUTE
Jamaa mmoja alienda kwa mchungaji kuungama,
Jamaa: Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana.
Mchungaji: Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana... Atakusamehe tu.
Jamaa: Mchungaji nimezini...

















