FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Valentine’s Day Haiishi Vituko
Valentine's Day: Haiishi Vituko
Jamaa mmoja aliamka asubuhi na kumpigia simu demu wake akimfahamisha kuwa muda mfupi atapita kwake kumletea zawadi ya Valentine's Day na mazungumzo...
POPULAR VIDEO
Unapochemka Kuoa Mke Ambaye Ni Kubwa La Maadui
Waswahili wanasema bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa mke. Na inapotokea unaoa mke ambaye ni kubwa la maadui jiandaae kwa songombingo hili! Sijui...
















