FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Vichaa Na Mlango Wa kuchorwa
Katika hospitali moja ya vichaa kulikuwa na vichaa kadha wa kadha waliokuwa wakipata matibabu ya akili. Daktari wao alikuwa anajitahidi kwa hali na mali...
POPULAR VIDEO
Fumbalo – Sehemu Ya Nane
Mtunzi: Baraka Oscar
Baruapepe: info@vunjambavu.com
Ilipotimu saa kumi na moja na nusu alfajiri tayari kituo kilikuwa kimaanza kupokea wasafiri ambao walikuwa wanaenda mikoa mbalimbali hususani Dar...

















