FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Walimu Wito | Lazima Kieleweke tu Mwaka Huu!!!
Nani asiyejua walimu wana mgomo baridi? Kisa nini? Maslahi duni! Lakini hili sidhani kama linawahusu! Mkasa huu ulitokea maeneo ya Mbagala kwenye shule moja...
POPULAR VIDEO
Msiba Umeahirishwa
jamaa alizowea kila akitaka kulala na hawara yake, alikuwa anamdanganya mke wake anakwenda kulala msibani. Siku moja alidanganya vivyo hivyo mkewe akafunga safari ya kwenda...
















