Tag: noeli
Besidei Ya Jizazi Hiyooooooooo!
Msimu wa besidei ya Jizazi umekaribia na umekuja na vitimbwi vyake. Katika pita pita zangu nilikutana na familia moja ikijiandaa na besidei hiyo.
Mke: Mume...
Noeli Ya Mwaka Huu Patachimbika
Baada ya mtumbua majipu kuendelea kutumbua majipu, siku kuu za noeli na mwaka mpya zinaonekana kuwakalia vibaya watu wengi.
