Wednesday, June 10, 2026
Home Authors Posts by vunjambavu

vunjambavu

575 POSTS 2 COMMENTS

Walimu Wito | Lazima Kieleweke tu Mwaka Huu!!!

2
Nani asiyejua walimu wana mgomo baridi? Kisa nini? Maslahi duni! Lakini hili sidhani kama linawahusu! Mkasa huu ulitokea maeneo ya Mbagala kwenye shule moja...

“Ungekuwa Wewe Ungefanyaje Afande!!!!”

1
Dereva mmoja wa basi dogo la abiria alijikuta matatani mara baada ya kuwavaa watu 25 waliokuwa kando ya barabara maarufu sana iendayo Mbagala. Mkasa...

“Bora Kufa Tu, Maisha Hayana Maana Tena!!”

1
Denti mmoja wa chuo fulani hapa kwa JK alijikuta akifanya maamuzi magumu sana ya kujiua mara baada ya kugundua 'kaumwa na nyuki' na kuungua...

Haya Ndio Mapenzi Shirikishi!!!!!

0
Jamaa mmoja aliyejizolea umaarufu sana katika maeneo fulani ya Magomeni Mapipa jijini Daslam kwa kuwamudu wake zake watatu alizua kali ya mwaka siku chache...

Mjini Mipango; Nguvu Kijijini Kwenu!!!!

1
Jamaa mmoja alienda saluni moja maarufu sana ipo Kinondoni Manyanya kwa ajili ya huduma ya kunyolewa akiwa na mtoto.  Alipomaliza kunyoa nywele na ndevu...

Watanzania Wakimbilia Biashara Ya ‘Unga’ | Wengi Wanaishia Jela Za Hong...

1
Mkuu Chipukizi ameweka kwenye thread nyingine link yenye habari muhimu na sensitive sana ambazo bado hazijadhibitishwa kuhusiana na biashara ya madawa ya kulevya hapa...

Ulevi Kipaji; Chezea ‘Machozi Ya Simba’ Wewe!!!!

1
Walevi wawili walikuwa ni wateja wakubwa sana wa mama Chichi, mwanamama hodari wa kupika machozi ya simba yakapikika yaani gongo katika mitaa fulani hivi...

Teja Na Mfungo Mtukufu

0
Kuna kawaida ya kituo fulani cha luninga huwa kinafanya mahojiano ya watu mbalimbali katika mitaa na kuwapa fursa ya kutuma salamu kwa ndugu jamaa...

Usipende Kudowea Futari Za Watu Ovyo!!!!

3
Jamaa mmoja siku chache zilizopita maeneo fulani ya jiji alikuwa anapenda kudowea futari iliyokuwa inaandaliwa na familia ya mzee mmoja maarufu sana hapa jijini...

Alaaniwe Alalaye Na Mnyama Na Watu Wote Waseme Amen!

5
"....Waacheni watoto wadogo waje kwangu...", hii ni moja ya kauli aliyoitoa Masiha, mwana wa Daudi pale Mafarisayo na Masadukayo walipotaka kuwazuia watoto wasicheze cheze...
25,671FansLike
- Advertisement -

EDITOR PICKS