vunjambavu
Siwezi Kula Matapishi Yangu
Siwezi Kula Matapishi Yangu
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || ).push({});
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || ).push({});
Ni Huzuni Tele; Mke Na Mume Wajinyonga! Kisa?????
Haya Ni Mauaji Ya Kutisha
Taarifa za hivi punde zinzsema, kuna mauaji ya kinyama yametokea huko Mbezi beach karibia na Hotel moja ya kitalii ambapo...
Slaa arudisha kadi: Breaking Newz
Slaa Arudisha Kadi
Katika hali isiyotazamiwa na wengi katibu mkuu wa CHADEMA, Dkt. WIlbrod Slaa amejiondoa rasmi katika orodha ya wateja wa Startimes. Hali hii imetokana na...
Mamvu (Heavy Weight) VS Tingatinga (Dodo Mchangani)
It is a matter of time we'll see the fight of the Century.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || ).push({});
Mamvu (Heavy Weight) VS Tingatinga (Dodo Mchangani)
Je, Unadhani UKAWA wamechemsha kumsajili Lowassa?
Siumi umi maneno, nayachukua kama alivyoyaandika mchambuzi maarufu wa soka nchini Edo Kumwembe,
".....CCM kuongelea ubaya wa Lowassa kwa sasa ni sawa na mtu kujichungulia...
Mwalimu Mgeni Azua Tafrani
Katika shule moja hivi iliyopo jijini Daslamu, ilifanikiwa kupata mwalimu mpya wa somo la sayansi. Baada ya kuwasili mwalimu huyo alipewa kufundisha darasa la...
Sehemu Nyingine BVR Ni Vituko!!!
Je, umejiandikisha kupiga kura?
Huu ni wakati wako wa kufanya maamuzi kwa ajili yako na wadogo zako wasio na haki ya kupiga kura kikatiba.
Kuna sehemu...
Mlevi na Mchungaji
MLEVI NA MCHUNGAJI WAMEKUTANA;
Katika pitapita za mchungaji wa kanisa fulani alikutana na mlevi akiwa na chupa yake ya lubisi kama sio balimi huku anabwabwaja...
Kipigo Cha Mke Cha Mbwa Mwizi
Jamaa mmoja aliamua kutembeza kipigo kwa mke wake kutokana na tabia mbaya na dharau za mkewe. Kipigo hicho kilisababisha jirani kusikia kilio cha mwana...
Acheni Bia Iitwe Bia
Jamaa alipoteza mali zote na akawa masikini wa kutupwa kwa sababu ya ulevi. Jambo hili lilimsononesha sana kiasi akawa anachukia sana pombe.
Siku moja akapita...
