FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Sema Tu Unataka Maji, Mimi Zeruzeru! | Chezea Kizungu Weye!
Wabongo tuna tabia moja chafu sana ya kuwagwaya Wazungu. Yaani ni kawaida sana kwa mbongo kumshobokea mzungu kuliko mbongo mwenzake. Jamaa mmoja alikuwa anafanya...
POPULAR VIDEO
Fumbalo – Sehemu Ya Saba
Mtunzi: Baraka Oscar
Barua pepe: info@vunjambavu.com
Wiki moja baadae, Gadau aliruhusiwa kutoka hospitali lakini alikuwa chini ya uangalizi wa polisi. Polisi walipewa taarifa kwamba Gadau alikuwa...
















