FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Unapenda Kuwa Bodigadi? | Chukua Hii
Kuwa mlinzi wa mtu fulani kuna watu wengi huona fahari kuwa hivyo lakini hii kazi ni utumwa mkubwa kupita ule wa mkoloni! Najua wapo...
POPULAR VIDEO
Usiombe Yakukute; Mke Anauma Wewe!!!
USIOMBE YAKUKUTE
Jamaa mmoja alienda kwa mchungaji kuungama,
Jamaa: Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana.
Mchungaji: Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana... Atakusamehe tu.
Jamaa: Mchungaji nimezini...
















