FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Ukipewa Nambari Ya Simu Sepa!!!
Ukipewa nambari ya simu na mrembo basi wewe sepa na usilete mbwembwe wakati yawezekana umeonewa huruma tu! 😉
Video Hii Hapa
POPULAR VIDEO
Ndege Ya Kitanzania
Kuna maprofesa arobaini walipanda ndege ya Kitanzania ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita tangazo kama ifuatavyo:
"Ndugu wasafiri wote, ndege unayotarajia kusafiri nayo imetengenezwa na wanafunzi...

















