FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Ushuzi Wa Maharagwe!!!!
Changudoa mmoja katika harakati zake za kusaka chochote alijikuta akinasa mimba tata. Mara nyingi kina mama wajawazito huitaji huduma za kiliniki ili kulinda afya...
POPULAR VIDEO
Usiombe Yakukute; Mke Anauma Wewe!!!
USIOMBE YAKUKUTE
Jamaa mmoja alienda kwa mchungaji kuungama,
Jamaa: Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana.
Mchungaji: Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana... Atakusamehe tu.
Jamaa: Mchungaji nimezini...
















