FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Jeuri Mbaya
Ukiwa jeuri, kuna jeuri zaidi yako. Juzi nilikuwa kwenye daladala natokea Kariakoo naelekea Ubungo. Tulipofika Manzese konda akauliza,
Konda: Kuna mtu ana shuka?
Dada mmoja akajibu,
Dada:...
POPULAR VIDEO
Chezea Pombe Weye! Utajutaaaaaaa
Mlevi mmoja alikuwa ametoka zake baa kalewa ndembendembe anaelekea kwake. Akiwa njiani alifika sehemu moja karibu na shule moja mitaa ya Tandale akaanza kukoja....
















