Trending Now
FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Wrong Number
Jamaa mmoja alikutana na demu mkali Mlimani City wakati kazuru eneo hilo kwa matembezi yake ya kawaida. Jamaa baada ya kuona yule mtoto analipa aliamua...
POPULAR VIDEO
Usiombe Yakukute; Mke Anauma Wewe!!!
USIOMBE YAKUKUTE
Jamaa mmoja alienda kwa mchungaji kuungama,
Jamaa: Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana.
Mchungaji: Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana... Atakusamehe tu.
Jamaa: Mchungaji nimezini...
















