FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Duh! Kuna Watu Wana Mapenzi Na Timu Zao Kuliko Wake Zao!
Mangi mmoja shabiki mkubwa wa Liverpool leo amezua balaa asubuhi na mapema. Mangi huyo amejikuta akilala mpaka saa tano asubuhi bila kwenda kazini. Mkewe...
POPULAR VIDEO
Nimevimba Daktari
Nimevimba Daktari
Jamaa alikuwa na matatizo ya kiafya na akaamua kwenda kumwona daktari
Mgonjwa: Daktari nina tatizo huku chini!
Daktari: Hebu vua tuone.
Mgonjwa: Navua ila usinicheke ,tafadhari Daktari usinicheke
Daktari: Usijali mimi hii...

















