FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Shakira Afurahia Penati Ya Mumewe
Mwanamuziki Shakira akishangilia goli la mumewe Gerald Pique
alipofunga penati dhidi ya Utaliano katika kombe la mabara linaloendelea nchini Brazil.
Hispania itacheza fainali na wenyewe Brazil.
//...
POPULAR VIDEO
Haibebi!!!!!
Sista du mmoja alikatiza mitaa ya kariakoo na kutokea kituo cha daladala cha magari yaendayo Mwenge kupitia Sinza! Alipofika kituoni akakuta gari moja liko...
















