
Mwanamke akimpiga busu mpenzi wake asiyeonyesha kujali.
Wakati mwingine unaweza kumdanganya mtu na akakubali uong wako ukadhani yeye ni bwege sana. Inawezekana ameumbwa kuvumilia na kutokuonyesha hisia zake pale anapojua anazungumza na mtu anayemthamini sana.
Filamu hii ya dakika 15:45 inaonyesha namna mtu anavyoweza kuvumilia hasira yake na inapofunuka machoni pako inakuwa ushaumia. Ni jambo baya sana kuwa na mahusiano na mpenzi au mke wa mtu vivyo hivyo mume wa mtu. Kwa sababu jeraha na hasira ya kuibiwa mpenzi mara nyingi ina matokeo mabaya sana.
Nisikuchoshe Sana, Angalia Video Hii


It is nice. I have watched it