vunjambavu
U.S Naval Academy Yadhamini Ndoa Ya Kwanza Ya ‘Sodoma Na Gomora’!!!
Kwa mara ya kwanza U.S Naval Academy imedhamini ndoa ya jinsia moja kati ya David Bucher (Miaka 49), mhitimu wa muda mrefu wa kituo hicho...
Manjonjo Ya Mwanasheria Rwegashore
Haya ndio manjonjo ya Kihaya!Baada ya kumaliza degree yake ya sheria Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya kuhudumia clients (wateja)...
Wakati Mwingine Watu Wanaweza Wasijue Thamani Yako!!!!
Kuna wakati watu wanaweza wasijue thani yako mpaka utakapoonyesha kile ambacho unaamini kina thamani kubwa sana. Andrew hakuwahi kuimba sehemu yeyote mbele za watu...
Teja Na Israel Mtoa Roho!!!!
Teja mmoja maeneo ya Kinondoni kwa Manyanya alikuwa amejiegesha katika uchochoro wake ambao alikuwa anautumia kila siku kujidungia 'unga' wake!
Wakati anaendelea kujipa dozi ghafla...
Mzaha Saa Nyingine Wahitaji Kujipanga!!!
Dada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe atafanya nini endapo ataamua kuondoka na kumuacha! Saa iyo hiyo,...
Acha Kujisifia Sanaaaaaa!!! |Utaumbuka!
Jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina la James nusura atokwe roho kwa mshtuko kutokana na tabia yake ya kujisifi sanaaaaaaaa! James hakubahatika kusoma wakati wa...
Savaivo Fo Dhe Fitesti | Angalia Hii Video
Kunapotokea majanga ya kimaumbile si rahisi sana kwa viumbe wanaokuwa juu ya uso wa dunia kuwa na bahati sawa ya kuyakabili na kuishi. Huu...
Mvua Daslam Zazua Timbwili, Ndoa Hatarini!!!!!
Siku ya tatu mvua imekolea Daslam wenye michepuko yao wakaamua kutumia mwanya huo ili kufanya yao! Mkasa mzima ulikuwa hivi:
Mume: Halloo mke wangu.. yaani...
Nyumba Za Kupanga Mashaka Tupu!!!
Nyumba za kupanga bwana...!
Jamaa alipanga mitaa fulani huko maeneo ya Kindondoni. Kama kawaida ya vijana wakishakuwa na magheto kinachobakia ni kuoa kwa hiyari! Siku...
Babu Na Viatu!
Kuna babu mmoja alikutwa stendi ya mabasi analia sana. Wasamaria wema wakaamua kumsaidia yule babu lakini kila walipokuwa wakimwuliza,
"Babu unalilia nini?"
akawa hasemi anaendelea...
