vunjambavu
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
Mapenzi Ni Matamu Ila Acha Kiherehere!
Mapenzi Ni Matamu Ila Acha Kiherehere!
Ama hakika mapenzi ni matamu sana ukimpata akupendaye mkashibana. Kumjali mpenzi wako ni jambo la msingi sana lakini ni...
Huyu Ndio Mwanamke
Huyu Ndio Mwanamke
Mrembo huyo akikuta pesa kwenye mifuko ya suruali yako anazitoa kimya kimya na wala hatakwambia kitu.
Sasa akute umesahau kondomu kwenye mifuko ndio...
Chezea Safari Ya Mbinguni Wewe!
Chezea Safari Ya Mbinguni Wewe!
Jamaa mmoja akiwa na mtutu wa kivita maarufu kama AK47 alivamia kanisa moja la kiroho na kukuta watu wanafanya ibada....
Salome Ya Diamond na Rayvanny Ni Hatari Tupu
Salome Ya Diamond na Rayvanny Ni Hatari Tupu
Wimbo wa Malaika ni moja ya nyimbo ambazo zimeimbwa mara nyingi sana na wasanii tofauti duniani. Hii...
Acha Maswali Yasiyo Ya Msingi
Acha Maswali Yasiyo Ya Msingi
Jamaa mmoja kwa kupenda vya kunyonga siku moja aliingia choo cha stendi bila kupenda. Tabia yake ya kuuliza maswali yasiyo...
Naona Mwalimu Hunipendi
Naona Mwalimu Hunipendi
Alex ni mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya Mtakuja. Siku moja mwalimu aliingia darasani na kuwataka wanafunzi wasome hadithi moja...
Sekeseke La Mama Wema Sepetu Na Manfongo Lamripukia Soud ‘Mbea”
Sekeseke La Mama Wema Sepetu Na Manfongo Lamripukia Soud ‘Mbea”
Naamini jina Wema Sepetu ni maarufu sana miongoni mwa watu. Pia mama Wema amekuwa akigonga...
Washua Na Simu Janja
Washua Na Simu Janja
Wazee wengi ni watata na wanakuwa manunda sana wakiwa nyumbani. Sio rahisi sana kupiga stories na dingi kila wakati.
Lakini siku hizi...
Nyie Wanaume Mungu Anawaona
Nyie Wanaume Mungu Anawaona
Aisee nyie wanaume kweli mnawatesa sana wanawake. Hapo zamani mlikuwa mnapenda wembamba wenyewe mkawabatiza jina ‘English Figure’, wakawa wanajikondesha mpaka wanatia...








