FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Huyu Demu Fundi
Ebwanaa eheeee! Huyu demu fundi hata Ngassa hagusi. Kibaya zaidi anachezea gozi la ng'ombe huku kavaa high heels. Jiulize akivaa six meno itakuwaje!
Kula Video...
POPULAR VIDEO
Mtanzania,Mnyarwanda Na Mkenya Wakamatwa Na Unga China
Mtanzania, Mnyarwanda, na Mkenya walikamatwa na madawa ya kulevya China. Wakaambiwa adhabu ni mbili kifo au adhabu nyingine ambayo wakiishindwa pia wanauawa.
Wakaomba wapewe hiyo...
















