FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Masharobaro Wana Kazi Sana
Sharobaro mmoja alipokea sms tatu kwa mkupuo na zilikuja na ujumbe huu; meseji ya kwanza ilitokea kwa mama yake na ilikuwa inasema hivi,
"Njoo utoe...
POPULAR VIDEO
Pombe Na Mbingu
Mchaga mmoja cha pombe alipanda kipanya (hiace) ili impeleke alikokuwa anaelekea katika shughuli zake za ulevi ambazo kwake ni kawaida kuifata pombe pahala popote...

















