FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Washua Na Simu Janja
Washua Na Simu Janja
Wazee wengi ni watata na wanakuwa manunda sana wakiwa nyumbani. Sio rahisi sana kupiga stories na dingi kila wakati.
Lakini siku hizi...
POPULAR VIDEO
“Nisamehe Mke Wangu, Sitarudia Tena!!!!” Huu Ni Woga Au Mapenzi?????
Kuna watu wababe mitaani na kwa washikaji zao lakini wakifika hapa wanatulia. Hivi huu ni woga au mapenzi? Kuna watu wana itikadi zao ambazo...

















