FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Zima Simu Kwenye Ibada Utaumbuka!
Kutokana na haraka haraka ya kuwahi ibada, jamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anaswali. GHAFLA simu ikaita. Ili kuua sooo kimya kimya, jamaa akaingiza...
POPULAR VIDEO
Thamini Kipaji Cha Mwanao
Inawezekana ikawa ni kawaida kwetu sisi kutokubaini vipaji vya watoto wetu na pia kushindwa kuviendeleza kabisa hata ikitikea tunavitambua. Mimi nina amini kila mmoja...
















