Vunja Mbavu https://www.vunjambavu.com Kucheka Ni Dawa Thu, 25 Feb 2016 08:00:17 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=7.1.2 Vunja Mbavu Kucheka Ni Dawa false Ripoti Ya Matokeo Darasani https://www.vunjambavu.com/ripoti-ya-matokeo-darasani/ https://www.vunjambavu.com/ripoti-ya-matokeo-darasani/#respond Thu, 25 Feb 2016 08:00:17 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4662 Ripoti Ya Matokeo Darasani

Ripoti ya matokeo

Mtoto  mmoja alikua anaangalia tv? kwa muda mrefu sana. Kitendo kile kilikuwa kina mkera sana baba yake kwani aliona mwanaye hautumii muda vizuri kwa ajili ya kujisomea.

Siku moja baba yake akamwambia, “hii ni TV yangu, kazana kusoma ili na wewe ununue yako!” Mtoto yule akakasirika sana akazima luninga akaondoka zake.

Shule zilipofungwa mtoto akarudi nyumbani, baba akadai ripoti ya matokeo. Mtoto akamwambia baba yake, “hii ripoti ni yangu, soma na wewe upewe yako.” Navyoongea hivi, yule mtoto yuko ICU!
??????

]]>
https://www.vunjambavu.com/ripoti-ya-matokeo-darasani/feed/ 0