Vunja Mbavu https://www.vunjambavu.com Kucheka Ni Dawa Mon, 25 Jan 2016 16:09:50 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=7.1.2 Vunja Mbavu Kucheka Ni Dawa false Pesa Itatufanya Tuone Mengi https://www.vunjambavu.com/pesa-itatufanya-tuone-mengi/ https://www.vunjambavu.com/pesa-itatufanya-tuone-mengi/#respond Mon, 25 Jan 2016 16:09:50 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4461

nazi-ya-ugoko

Pesa itatufanya tuyaone mengi sana. Nyakati hizi za mwisho maandiko yanasema watu watakuwa ni wenye kupenda pesa sana. Sasa kwa kupenda huku pesa, hali si shwari.

]]>
https://www.vunjambavu.com/pesa-itatufanya-tuone-mengi/feed/ 0
Je, Mkeo Ana Thamani Kiasi Gani? https://www.vunjambavu.com/je-mkeo-ana-thamani-kiasi-gani/ https://www.vunjambavu.com/je-mkeo-ana-thamani-kiasi-gani/#respond Sun, 10 Jan 2016 19:22:49 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4350 bei-ya-penzi

Nianze kwa kuuliza swali, je, mkeo ana thamani kiasi gani? Kuna jamaa ni bingwa wa kufanya tafiti za mambo ya kijamii yanayohusiana na mahusiano. Alitaka kujua kama fedha ina nguvu kuliko penzi tena penzi la ndoa. Utafiti huu unanikumbusha filamu moja inaitwa “Indecent Proposal”  (1994) . Je, wewe uko tayari kumwuza mkeo kwa usiku mmoja tu kwa ajili ya shilingi Milioni 220? Angalia video hii halafu utanijibu baadaye. Ukiipenda wasambazie wanaume wote waliooa unaowafahamu!

Video Ya Kwanza( Inaendelea….)

Video Ya Pili

]]>
https://www.vunjambavu.com/je-mkeo-ana-thamani-kiasi-gani/feed/ 0
Pesa Ni Nguvu! Hutaki? | Angalia Video Hii https://www.vunjambavu.com/pesa-ni-nguvu-hutaki-angalia-video-hii/ https://www.vunjambavu.com/pesa-ni-nguvu-hutaki-angalia-video-hii/#comments Sat, 28 Dec 2013 18:32:02 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=2869 fat

Hakika pesa ina nguvu sana. Kuwa na pesa hakumaanishi unaweza kuyamaliza matatizo yote lakini kutokuwa na pesa ni tatizo lisilo na ufumbuzi kabisa.


Jitahidi kuwa na pesa uone jinsi pesa inavyoleta ufumbuzi wa matatizo. Kuna Mmarekani mmoja aliishi zaidi ya miaka 40 bila kupata mpenzi kutokana na umbo lake tipwatipwa! Kwa bahati akashinda bahati nasibu ya dola za Kimarekani milioni moja, baada ya siku mbili alipata mpenzi aliyekuwa tayari kuishi naye kwa uzima na kifo!

Angalia Video Hii


]]>
https://www.vunjambavu.com/pesa-ni-nguvu-hutaki-angalia-video-hii/feed/ 2
Ukahaba Ni Tabia Lakini Huu Ni Ushenzi | Hii Yote Ni Kwa ajili Ya Pesa? https://www.vunjambavu.com/ukahaba-ni-tabia-lakini-huu-ni-ushenzi-hii-yote-ni-kwa-ajili-ya-pesa/ https://www.vunjambavu.com/ukahaba-ni-tabia-lakini-huu-ni-ushenzi-hii-yote-ni-kwa-ajili-ya-pesa/#respond Thu, 22 Aug 2013 18:56:47 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=2338 Kumekuwako minong’ono ya hapa na pale kwamba kuna watu hufanya biashara chafu sana ya kutumikisha wanawake na wanyama na kuwafanyisha ngono kwa ujira fulani. Watu ambao wanaaminika kufanya biashara hii huwa ni wafugaji wa mbwa na huamini wanawapa furaha mbwa wao! Nimewahi kusikia mikasa kama hii mara kadhaa sasa kwamba kuna watu hulipwa mpaka dola 300 kwa siku iwapo watakubali kulala na mbwa wa matajiri kadhaa nchini hasa wenye asili ya kigeni. Ni nadra sana jambo hili kufanywa na Watanzania lakini wageni wengi wana hulka hiyo!


Siku za hivi karibuni tulisikia nchini Kenya kwamba kuna mzungu mmoja alikamatwa akitengeneza filamu ambayo ilihusisha mabinti wa Kikenya na mbwa. Jambo hili linasikitisha sana hata kulisimulia lakini huwezi kuziba macho au masikio kwa sababu matukio haya hutokea katika jamii zetu. Swali la msingi ni kwamba, je ni kweli haya yanafanyika kwa ajili ya pesa tu au kuna jambo jingine nyuma ya pazia? Iwapo jamii itakuwa imestaarabika unadhani jambo hili ni rahisi kuwarubuni wanawake wa jamii hiyo? Au waendesha miradi hii huangalia jamii ambazo zina mazingira duni na uelewa mdogo ili kuzirubuni? Kila mtu anaweza kuwa na majibu yake sahihi.

Leo hii nitakuonyesha video moja na inawezekana usiipende sana lakini hii ndiyo dunia tunayoishi sasa. Tahadhari kubwa, video hii haifai kuangaliwa na watu wote walio chini ya umri wa miaka 18. Zingatia tahadhari hii!

Bofya Hapa Kupakua Video Hii Na Kuangalia


Download AVG Internet Security Free Trial


]]>
https://www.vunjambavu.com/ukahaba-ni-tabia-lakini-huu-ni-ushenzi-hii-yote-ni-kwa-ajili-ya-pesa/feed/ 0