Vunja Mbavu https://www.vunjambavu.com Kucheka Ni Dawa Thu, 21 Jan 2016 21:08:13 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=7.1.2 Vunja Mbavu Kucheka Ni Dawa false Sifa Kumi Za Mwanaume Wa Kukuoa https://www.vunjambavu.com/sifa-kumi-za-mwanaume-wa-kukuoa/ https://www.vunjambavu.com/sifa-kumi-za-mwanaume-wa-kukuoa/#respond Thu, 21 Jan 2016 21:08:13 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4440
mumeSIFA 10 ZA MWANAUME AMBAYE KILA BINTI ANAYETAKA KUOLEWA ANGEPENDA AOLEWE NAYE
  1. Awe na pesa nyingi
  2. Siyo lazima awe mzuri wa sura but most of times awe handisome
  3. Ajenge ukweni na sio kwao
  4. Awe mpole
  5. Asimuonee wivu mke wake
  6. Awe mwenye upendo wa dhati
  7. Asishike simu ya mke wake.
  8. Akimkuta na mwanaume apite tu, akitaka kujua ni nani asubiri nyumbani napo asiulize ila mpaka mkewe aamue kumwambia
  9. Awe anamskiliza mke wake kwa kila kitu.
  10. Asitamani mwanamke mwingine zaid yakeUKIMPATA MWANAUME MWENYE SIFA HIZO KAPIME DNA LAZIMA ATAKUWA NI BABA YAKO.
]]>
https://www.vunjambavu.com/sifa-kumi-za-mwanaume-wa-kukuoa/feed/ 0
Unapochemka Kuoa Mke Ambaye Ni Kubwa La Maadui https://www.vunjambavu.com/unapochemka-kuoa-mke-ambaye-ni-kubwa-la-maadui/ https://www.vunjambavu.com/unapochemka-kuoa-mke-ambaye-ni-kubwa-la-maadui/#respond Mon, 04 Jan 2016 23:37:31 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4302 kubwa-la-maadui

Waswahili wanasema bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa mke. Na inapotokea unaoa mke ambaye ni kubwa la maadui jiandaae kwa songombingo hili! Sijui ungekuwa wewe ungefanyaje!

Video Hii Hapa

]]>
https://www.vunjambavu.com/unapochemka-kuoa-mke-ambaye-ni-kubwa-la-maadui/feed/ 0
Mayai Ya Kuku https://www.vunjambavu.com/mayai-ya-kuku/ https://www.vunjambavu.com/mayai-ya-kuku/#respond Sun, 11 Oct 2015 20:06:13 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4021 mayai

Mayai Ya Kuku

Mama mmoja alikuwa anafanya usafi chumbani na ghafla kwa mara ya kwanza akakutana na kisanduku chini ya uvungu. Alipokifungua akakuta mayai 5 na shilingi milioni 1.Aliporudi mumewe akamuuliza,

Mke: Kisanduku hiki ni cha nini pamoja na haya mayai?

Mume: Kweli wataka kujua mke wangu?

Mke: Kwani siku hizi tunafichana!!

Mume: Tangu nimekuoa miaka mitano iliyopita nilijiwekea utaratibu kama nitatoka nje ya ndoa nanunua yai moja na kuliweka humu ndani ya kisanduku.

Mke: (Huku akifurahi)  Kumbe mume wangu umetoka nje ya ndoa mara 5 tu tangu tuoane miaka 5 iliyopita?Waliokuwa wanasema wewe mhuni ni wachonganishi tu. Na vipi kuhusu hizo milioni 1?!

Mume: Huwa nayauza mayai pindi yanapokuwa mengi na pesa naziweka humo!

Mke akadondoka chini na kuzimia….!

]]>
https://www.vunjambavu.com/mayai-ya-kuku/feed/ 0
Ni Huzuni Tele; Mke Na Mume Wajinyonga! Kisa????? https://www.vunjambavu.com/ni-huzuni-tele-mke-na-mume-wajinyonga-kisa/ https://www.vunjambavu.com/ni-huzuni-tele-mke-na-mume-wajinyonga-kisa/#respond Fri, 31 Jul 2015 19:35:24 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=3914 Haya Ni Mauaji Ya Kutisha

Taarifa za hivi punde zinzsema, kuna mauaji ya kinyama yametokea huko Mbezi beach karibia na Hotel moja ya kitalii ambapo mke na mume wanyongwa mpaka kufa. Sababu hazijaelezwa ila wadadisi wa mambo wanadai ni kutokana na siri kubwa iliyokuwa baina yao baada ya kugundulika.

Inasemekana siri hiyo ilihusisha mtoto, kwani baba wa mtoto alikuwa analea mtoto ambaye watonyaji walimtonya kuwa si wake. samahani kwa picha MbAyA zilizo chini hapo. Jitahidini kuangalia labda mtawatambua hawa marehemu. Samahani sana kwa picha za kutisha!

Kuangalia Picha Bofya Hapa

]]>
https://www.vunjambavu.com/ni-huzuni-tele-mke-na-mume-wajinyonga-kisa/feed/ 0
Sikia Hii Mume Anamwuliza Mkewe https://www.vunjambavu.com/sikia-hii-mume-anamwuliza-mkewe/ https://www.vunjambavu.com/sikia-hii-mume-anamwuliza-mkewe/#respond Sat, 14 Feb 2015 20:15:50 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=3501 SIKIA HII MUME ANAMWULIZA MKEWE

Baada ya uvumi kuzaa mtaani kwamba kuna njemba moja imepiga na kughalaghaza wake za watu karibia wote mataani, jamaa mmoja aliamua kumwuliza mkewe juu ya ukweli wa jambo hilo;

MUME: Mke wangu, nasikia Beka katembea na wake za watu wote hapa mtaani kasoro mmoja tu!?

MUKE: Mh! Basi huyo aliyebaki atakuwa Mama Sam, maana yule mama ndo anajifanyaga mlokoleeeee sanaaaa! Mi simpendi!

Jiongeze mwenyewe!


]]>
https://www.vunjambavu.com/sikia-hii-mume-anamwuliza-mkewe/feed/ 0