Vunja Mbavu https://www.vunjambavu.com Kucheka Ni Dawa Wed, 16 Dec 2015 17:59:48 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=7.1.2 Vunja Mbavu Kucheka Ni Dawa false Mkuki Kwa Nguruwe https://www.vunjambavu.com/mkuki-kwa-nguruwe/ https://www.vunjambavu.com/mkuki-kwa-nguruwe/#respond Wed, 16 Dec 2015 17:59:48 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4101 mkuki

Siku moja mwanaume mmoja alifika kwake akiwa anahema akitokea kazini kabla ya muda wa kawaida. Akamwambia mke wake,

Mume: Jiandae haraka tuna safiri kwenda mbeya

Mke: Kuna nini??

Mume: Mama amefariki!

Mke: Mimi siwezi kwenda kilioni nikiwa hivi!

Basi mke akaenda saluni akaweka nywele vizuri na kubandika kope za macho. Aliporudi akaanza kupanga nguo,akamuuliza mumewe,

Mke: Huvo mama yako amefariki kwa nini?

Mume:  Mama yangu hana kitu, nimetoka kuongea naye sasa hivi.

Mke: Si umeniambia kuwa kuna msiba?

Mume: Ndiyo, mama yako  kafariki!

Ghafla mkewe akaanza kughalaghala na kupiga kelele,

Mke: Niwahishe haraka nyumbani nikamzike mama nisije kuta wamezika!

Mume: Siwezi kwenda msibani nikiwa hivi, subiri nikanyoe ndevu.

Ama kweli mkuki kwa nguruwe…!!!

]]>
https://www.vunjambavu.com/mkuki-kwa-nguruwe/feed/ 0