Tag: MET
Foleni Yamfanya Bilionea Dewji Kupanda Bodaboda | Afikiria Kununua ‘Chopa’
Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa jinsi inavyoonekana hapa jijini Dar-Es-Salaam, kila kukicha foleni kama inaongezeka na imekuwa ikileta kero sana kwa wakazi wa jiji hili...
