Vunja Mbavu https://www.vunjambavu.com Kucheka Ni Dawa Fri, 08 Apr 2016 07:40:08 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=7.1.2 Vunja Mbavu Kucheka Ni Dawa false Mikasa Ya Mama Mkwe https://www.vunjambavu.com/mikasa-ya-mama-mkwe/ https://www.vunjambavu.com/mikasa-ya-mama-mkwe/#respond Fri, 08 Apr 2016 07:40:08 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4807 Mikasa Ya Mama Mkwe

mama-mkwe

Bi harusi baada ya kuolewa alihamia kwa mumewe anayeishi na wazazi wake. Akakaribishwa na lecture kutoka kwa Mama mkwe wake, sheria na katiba za nyumbani.

Mama mkwe : Mimi ndio Waziri Mkuu wa nyumba hii, Baba mkwe wako ni Wazirii wa Fedha, Wifi yako naye ni waziri wa  Maendeleo, mikakati na desturi za nyumba hii, Mume wako naye ni waziri wa usalama na kuongeza idadi ya familia hii. Je wewe mkwe ungependelea kua waziri wa wizara gani???

Bi Harusi: (huku akitabasamu kwa ujeuri, akajibu kwa haraka) Mpenzi Mama Mkwe,  mie nitakua kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani’….??

]]>
https://www.vunjambavu.com/mikasa-ya-mama-mkwe/feed/ 0